Home
ABOUT US
Secretary’s Desk
Organization Structure
Who are we?
Divisions
Administration & Human Resources Management
Information and Communication Technology
Recruitment Management
Quality Control
UNITS
Procurement Management
Government Communication
Internal Audit
Finance & Accounts
Legal Services
Planning, Monitoring & Evaluation
CONTACT
FEEDBACK
GALLERY
Video
Photo
PUBLIC INFO
Legislation
General Information
Hoja Za Wadau
ARCHIVE
Recruitment Portal
STAFF MAIL
LOSS REPORT
Advertisements
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO CHA MAJI 22-04-2024
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MARINE SERVICES COMPANY LIMITED (MSCL), 16-04-2024
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI DMI, IAA, TIA NA MSCL 16-04-2024
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA MJI NZEGA 16-04-2024
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI 16-04-2024
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MWEKA 16-04-2024
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA DUCE 15-04-2024
View More ...
Call for Interview
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 25-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MAJINA YA NYONGEZA MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI (VETA) 25-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI VETA MAJINA YA NYONGEZA 23-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 21-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 16-04-2024
View More ...
Placements
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 19-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 18-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KAZINI HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA) 09-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KAZINI CHUO KIKUU ARDHI 08-04-2024
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 08-04-2024
View More ...
PSRS Journal
Jarida - Januari 2024 15-02-2024
Sekretarieti ya Ajira imeweza kuendesha Usaili wa kuandika Kidigitali katika Mikoa, Wilaya na Kata
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa TUGHE tawi la Sekretarieti ya Ajira mjini Morogoro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira mjini Morogoro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa idara na Vitengo katika baraza la Wafanyakazi mjini Morogoro
Waziri wa Nchi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza na Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira mjini Morogoro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.George Simbachawene akitoa hotuba yake mbele ya Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira katika ukumbi wa Mzinga mjini Morogoro
Kaimu Katibu Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma akisoma hotuba yake katika Baraza la Wafanyakazi wa Sekretarieti ya Ajira mjini Morogoro
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.George Simbachawene pamoja na Kaimu Katibu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakishuhudia msailiwa akifanya usaili wa njia ya kidigitali mkoani Manyara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene pamoja na Kaimu Katibu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Innocent Bomani wakiwa kwenye chumba cha kufanyia usaili wa kuandika kwa njia ya Kidigitali katika kituo cha VETA Manyara
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete akishuhudia usaili wa kuandika kwa njia ya Kidigitali ukifanyika jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto) akiwa pamoja na Mkuu wa Idara ya TEHAMA Bw.Samwel Tanguye wakiingia kwenye chuma cha kufanyia usaili wa kuandika kwa njia ya Kidigitali katika Chuo cha St.Joseph jijini Dar es Salaam
Unapokuja kwenye Usaili tafadhali beba Vyeti vyako vyote halisi na Kitambulisho kwa ajili ya Utambuzi
Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bi. Sophia Kaduma akimkaribisha Mjumbe mpya wa Sekretarieti ya Ajira Bw.Abdi Faki (Mwakilishi wa Zanzibar) kwenye kikao cha Wajumbe wa ofisi hiyo katika ukumbi wa Tume ya Uchaguzi jijini Dodoma
Kaimu Katibu Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Innocent Bomani akizungumza na Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Ajira Bi.Sophia Kaduma katika kikao cha Wajumbe wa Ofisi hiyo
Kikao cha Wajumbe wa Sekretarieti ya Ajira kikiendelea jijini Dodoma
Wakuu wa Idara na Vitengo wakiwa kwenye kikao cha Wajumbe wa Sekretarieti ya Ajira katika Ukumbi wa Tume ya Uchaguzi jijini Dodoma
Kaimu Katibu Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Innocent Bomani (katikati) akizungumza na Watumishi katika mafunzo ya Mfumo wa Kutathmini utendaji kazi kwa watumishi wa Umma
Kaimu Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Innocent Bomani akifungua mafunzo maalum ya mfumo wa kutathmini utendaji kazi wa watumishi wa umma PEPMIS kwa watumishi wa Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira. katika Utumishi wa Umma
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza na wadau kwenye kikao kazi kuhusu mfumo wa usaili kidigitali jijini Dodoma
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (katikati) akifuatilia kikao kazi cha wadau wa Ajira akiwa pamoja na Kaimu Katibu Sekretarieti ya Ajira Bw.Innocent Bomani (kulia) .pamoja na Mkuu wa Idara ya TEHAMA Mhandisi Samwel Tanguye
Mkuu wa Idara ya TEHAMA Mhandisi Samwel Tanguye akizungumza kwenye kikao kazi cha kutambulisha mfumo mpya wa usaili kidigitali
Jengo la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma lililopo Dodoma linalotarajiwa kukamilika na kuanza kutumika ndani ya Mwaka huu 2024 na watumishi wa Ofisi hiyo
Wasailiwa wakiwa kwenye usaili wa vitendo kada ya Fundi Sanifu Mifumo ya Maji II
Wasailiwa wakiwa kwenye usaili wa vitendo kada ya Autoelectrical
Wasailiwa wakiwa kwenye usaili wa Vitendo kada ya Mpishi
Msailiwa akiwa katika usaili wa vitendo uliohusisha kuchomelea vyuma
Msailiwa akiwa kwenye usaili wa vitendo wa Kada ya Mechanical
Msailiwa akiwa kwenye usaili wa vitendo wa kuendesha mitambo
Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo uliohusisha kuunganisha vitanda vya hospitali
Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo wa kupaka rangi vifaa
Watumishi wapya wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa umma wakiwa katika picha ya pamoja na Wakufunzi kutoka chuo cha Utumishi wa Umma, baada ya mafunzo elekezi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi - Dodoma
Wasailiwa wakisikiliza maelekezo ya jumla kutoka kwa Afisa wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kabla ya kuanza usaili wa kuandika jijini Dar es Salaam
Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wakiwa kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Ridhiwani Kikwete akiwa pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Juma Mkomi kwa pamoja wakipokelewa katika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
Baadhi ya Wataalamu wanaosimamia Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Dodoma
Wasailiwa wakiwa kwenye Usaili wa Kuandika jijini Arusha.
Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo Kada ya Uandishi wa Habari jijini Dodoma.
Wadau wakitoa maoni na mahitaji ya mfumo wa Kieletroniki wa kufanya Usaili wa kuandika (Online Aptitude Teste System) katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Utalii Dar es Salaam
Wasailiwa wakiwa kwenye usaili Fundi Sanifu Umeme
Msailiwa akiwa kwenye usaili wa Vitendo Fundi Sanifu Magari
Msailiwa akiwa katika usaili wa Vitendo Kada ya Fundi Sanifu Magari
Wasailiwa wakiwa katika usaili wa Vitendo Kada ya Upishi katika Chuo cha Ufundi VETA- Dodoma.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara na Vitengo pamoja na Wataalam wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea hifadhi ya Manyara iliyopo katika Wilaya ya Karatu baada ya kumaliza kikao kazi kilichoongozwa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw.Xavier Daudi wilayani hapo katika ukumbi wa Manyara Conference Centre.
×
Loss Report Information
Examination Level
-- Examination level --
CSEE
ACSEE
Index No.
(S1234-5678)
Year of Completion
--Year--
2024
2023
2022
2021
2020
2019
2018
2017
2016
2015
2014
2013
2012
2011
2010
2009
2008
2007
2006
2005
2004
2003
2002
2001
2000
1999
1998
1997
1996
1995
1994
1993
1992
1991
1990
1989
1988
1987
1986
1985
1984
1983
1982
1981
1980
1979
1978
1977
1976
Search
×
Loss Report Information
Full Name
Center Name
Year of Graduation
Exam Type
Division/Point
Close
×
ADVERTISEMENTS ARCHIVE
Type
-- Choose type --
Advertisements
Call for Interview
Placements
Published On
-- Published Date --
Specific Month
Date Range
Search